Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa awasili Makao makuu ya Polisi, apigwa kalenda
DAR ES SALAAM: Mwanasiasa Edward Lowassa awasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, ulinzi waimarishwa. Anatuhumiwa kutoa kauli za kichochezi.
Aidha katika viunga vya ofisi hizo Ulinzi umeimarishwa maradufu huku Waandishi wa habari wakifukuzwa.
=====
UPDATE
=====
Lowassa atakiwa kurudi polisi tena: Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ametakiwa na jeshi la polisi kurudi tena Julai 13 kwa kuwa upelelezi bado haujakamilika.

No comments:
Post a Comment