[TRENDING][10]

CENTER OF ICT
ENTERTAINMENT
GOSSIP
NEWZ
SPORTS
VIDEOS

Kukithiri kwa vitendo vya Utekaji wa watoto/kidnapping katika Jiji la Arusha


Kukithiri kwa vitendo vya Utekaji wa watoto/kidnapping katika Jiji la Arusha

Image may contain: 4 people, people smiling, people standing and outdoor

Arusha.png

Samson Petro, mwenye umri wa miaka 18 (msukuma) mkazi wa Olasiti, Arusha anatafutwa na Polisi akidaiwa kuhusika na matukio ya utekaji nyara.

Kesho zoezi la kumtafuta likaendelea na jioni zikaja taarifa kuwa kuna barua imefika hapo nyumbani kwa mtoto kupitia kwa watoto wa jirani waliotumwa na mtu wasiemjua.

Barua inaelezea kuwa imetoka kwa watu wanaomshikilia mtoto,na wanataka wapewe 'chao'ili kumrudisha mtoto,tofauti na hapo kesho wataleta kichwa cha mtoto.Wakaweka namba za simu kwa mawasiliano zaidi.

Kesho asubuhi ikakutwa karatasi/bango pamoja na blauzi ya mtoto aliyepotea likiuliza ni kwanini barua yao haikufanyiwa kazi?Na vitisho vya vingi juu pamoja na namba za simu tena.

Hili tukio lote kama lilivyo limeripotiwa polisi baada ya saa 24 kama inavyotakiwa lkn cha kushangaza hatujaona mtoto wala matumaini yoyote.

Kibaya zaidi kuna habari zinasikika mitaani kuwa kuna watoto wengine wameendelea kupotea kwa mtindo huu baada ya huyu wa jirani kupotea. Na waliowachukua/watekaji wanadai kupewa hela ili kuwarudisha hao watoto na wanatoa namba za simu.

Kuna kijana/fundi cherehani nae tangu Jumamosi jioni alipomfuata mtu anaedaiwa kumpigia simu, hajarudi hadi leo na hakuna taarifa za kuonekana mahali popote. Nae taarifa ziko polisi na bado hatujui kinachoendela!

Mitaani tumejawa na tahaaruki na maswali mengi yasiyokuwa na majibu.Hatujui hatma ya haya!Hatujui kama hii ni Kibiti ya aina nyingine au!

LAKINI KUBWA ZAIDI NI POLISI MKO WAPI HADI MUDA HUU?

USALAMA WETU NA MALI ZETU UKO WAPI?[/ATTACH]

UPDATES; 30 Agosti
Watoto waliotekwa, wawili wapatikana Arusha
Siku moja mara baada ya Times Fm kuripoti habari kuhusu kupotea kwa watoto wanne, kamanda wa jeshi la polisi mkoani Arusha Charles Mkumbo amethibitisha kupatikana kwa watoto wawili na kumshikilia mtu mmoja aliyekutwa na watoto katika kata ya olasiti .

Kamanda Mkumbo amesema jeshi la polisi linaendelea na upelelezi katika kuakikisha watekaji wote wanapatikana kwani tukio hilo sio la kufumbia macho na pia lina hatarisha amani kwa wakazi wa jiji la Arusha

wakizungumza na Habari Xtra wazazi waliowapata watoto wao kwa kuletewa na dereva wa boda boda mara baada ya watekaji kuwapatia namba ya balozi na kuagiza kuwarudisha nyumbani watoto wawili ,Ayub FRed na Bakari Suleman ,mama mzazi wa Bakari amesema ni faraja kuona mwanae amerudi salama nyumbani mara baada ya kumpoteza kwa siku nne mara baada ya kutekwa na watu wasio fahamika .

Amesema wazazi wengine wasikate tama kwani jeshi la polisi bado linaendelea na msako wa kuwapata watoto wengine wawili Maurin David pamoja na Ikram Salim ambapo mpaka sasa hawajulikani walipo
----------

Mmja kati ya watoto waliotekwa,mtoto Bakari amesema walikamatwa na watekaji baada ya kupewa wali na soda.

Hii inamaanisha hivi vitu hivi ni adimu sana kwao na ana vipata kwa nadra mpaka sherehe.

Jamani eeh walisheni wanenu vizuri la sivyo watatekwaaa
[​IMG]
Kwahali ilivyosasa wakianzisha kugawa chips na soda watateka mademu wooote hapa mjini.

PICHA YA MMOJA WA WATEKAJI
Mtekaji.png 
Anatafutwa na Polisi
AR/IR/9283/2017
Kosa : KUTEKA NYARA WATOTO:
JINA : SAMSON S/O PETRO
UMRI: 18YRS
KABILA : MSUKUMA
DINI: MKRISTO
MAKAZI: OLASITI ARUSHA / KATORO GEITA

About Author Mohamed Abu 'l-Gharaniq

when an unknown printer took a galley of type and scrambled it to make a type specimen book. It has survived not only five centuries.

No comments:

Post a Comment

Start typing and press Enter to search