SIAYA, KENYA: Aliyekuwa msimamizi msaidizi katika Uchaguzi Mkuu akutwa ameuawa huko Sega

Jeshi la Polisi ktk Kaunti ya Siaya linaendelea na upelelezi baada ya mwili wa mwanamke(mwalimu) aliyetambulika kama Caroline Odinga ambaye alikuwa msimamizi msaidizi akifanya kazi na IEBC ktk uchaguzi mkuu wa Kenya mnamo Agosti 8 mwaka huu.
Mwili huo ulikutwa katika soko la Sega Jumamosi asubuhi na watu waliokuwa wakielekea ktk mazishi ya Mkurugenzi wa TEHAMA wa IEBC, Chris Msando ktk kijiji cha Lifunga.
Mkuu wa Polisi katika Kaunti ya Siaya, Sarah Duncan alisema uchunguzi unaendelea na upelelezi wa awali unaonesha kuwa marehemu alibakwa na watu wengi na sehemu zake za siri pamoja na sikio moja kukatwa vibaya.
Familia yake inaeleza kuwa mara ya mwisho alitoka nyumbani akielekea kudai malipo yake kwa kazi aliyofanya ya usimamizi ktk Uchaguzi Mkuu ulioisha.
Police in Siaya are investigating an incident where the body of a middle aged female teacher, who was a deputy presiding officer with the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC), was discovered on Saturday morning in a thicket at Sega trading centre, Siaya County.
Ms Caroline Odinga's body was found by residents who were on their way to attend the burial of slain IEBC ICT director Chris Msando in Lifunga village.
Ms Odinga, a teacher at Ugenya High School, was a deputy presiding officer with the IEBC during the August 8 General Election.
The Siaya County Police Commander, Mrs Sarah Duncan, said the police are investigating the circumstances surrounding Ms Odinga's death.
GANG RAPED
"We were attending the burial of Chris Msando when we received information that a lifeless body was found dumped in a thicket in Sega, we have launched investigations into the matter," said Mrs Duncan.
The officer added that information from the deceased family indicate that she left her home on Friday to get her pay after working as deputy presiding officer during the just concluded elections.
Mrs Duncan added preliminary investigations revealed that the victim was gang raped as her genitals and left ear were badly mutilated.
She warned the public to desist from rumours surrounding her death and let the police to complete their investigations.
"We urge the locals to ensure that they keep off sensationalising this matter and let the police do their work," said Mrs Duncan.
Source: Nation.co.ke

=======

No comments:
Post a Comment