TETESI ZA USAJILI TANZANIA
TETESI ZA USAJILI TANZANIA
Baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu,benchi la ufundi la Yanga limeridhia kusajiliwa kwa chipukizi BARUAN YAHYA kwa mkataba wa miaka miwili.
.
Baruan aliyemaliza masomo ya kidato cha sita mwaka jana nchini Uganda, amekubali kusaini kandarasi hiyo na kuipa kisogo ofa ya kupewa uraia wa Uganda ili acheze kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya nchi hiyo.
Baruan ni mdogo wake na nyota wa zamani wa soka nchini Yahya Akilimali.

No comments:
Post a Comment