[TRENDING][10]

CENTER OF ICT
ENTERTAINMENT
GOSSIP
NEWZ
SPORTS
VIDEOS

MAZOEZI YA YANGA SC KAMBINI

YANG SC KAMBINI NA MAZOEZI WANAYOFANYA KWELI WAMEPANIA.

“Kabla ya kuingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mwanzo wa msimu vema wachezaji kufanya medical check-up kujua utimamu wao kiafya, pia ni lazima waingie gym hii husaidia kupunguza majeruhi mara baada ya msimu kuanza, tuna ratiba ambayo kila mchezaji amepewa ambapo kuna muda huwa tunafanya mazoezi ya uwanjani kwa lengo la kutengeneza muunganiko wa wachezaji wapya tuliowasajili na kuufahamu mfumo ambao tutautumia kwenye mechi.
"Ni muhimu sana tukaboresha na kujenga mfumo bora wa matibabu ambao utapunguza lundo la majeruhi wa muda mrefu pia kuwajenga wachezaji katika saikolojia nzuri ya kucheza kwa moyo wote bila uoga wakijua kuna mfumo bora wa matibabu kikosini . Msimu uliopita nilisumbuliwa mno na lundo la majeruhi hivyo nisingependa kuona hali hiyo ikijirudia . . Kila kitu kinaenda sawa ni imani yangu msimu ujao utakuwa wa mafanikio"
- GEORGE LWANDAMINA


About Author Mohamed Abu 'l-Gharaniq

when an unknown printer took a galley of type and scrambled it to make a type specimen book. It has survived not only five centuries.

No comments:

Post a Comment

Start typing and press Enter to search