Muumini apigwa risasi wakati akiingia Kanisani Dar es Salaam
Muumini apigwa risasi wakati akiingia Kanisani Dar es Salaam.
Miongoni mwa issue kadhaa zilizojadiliwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo July 24, 2017 ni pamoja na issue ya mkazi mmoja wa Ubungo Kibangu Dar es Salaam Adrian Mpandekunusurika kifo baada ya kupigwa risasi wakati akiingia Kanisani.
Tayari mgayabookstore imezikusanya na kukuwekea pamoja issue zote kubwa kutoka katika Magazeti ya Tanzania leo July 24, 2017 ambazo hukuwekea kwenye twitter ya mgayabookstore
Mkazi mmoja wa Ubungo Kibangu, Dar es Salaam Adrian Mpande amenusurika kifo baada ya kupigwa risasi wakati anaingia Kanisani.
No comments:
Post a Comment