[TRENDING][10]

CENTER OF ICT
ENTERTAINMENT
GOSSIP
NEWZ
SPORTS
VIDEOS

Msichana kakamatwa baada ya kuonesha LIVE ajali ya gari iliyomuua mdogo wake

Msichana kakamatwa baada ya kuonesha LIVE ajali ya gari iliyomuua mdogo wake


Mamlaka katika mji wa Stockton, California zinachunguza kama msichana mwenye umri wa miaka 18 alijirekodi video wakati anaendesha gari Ijumaa, Los Banos, na kusababisha ajali ambayo ilimuua dada yake mwenye miaka 14 kwenye barabara ya Henry Miller.
Obdulia Sanchez alionekana akijionesha mwenyewe LIVE kwenye Instagram wakati akiendesha huku akirap kufuatisha muziki kwenye gari ambapo alionekana akiacha kuliongoza na kuishika simu yake akiizungusha katika pembe tofauti.
Na wakati huo huo alionekana msichana akiwa siti ya nyuma ya gari ambapo video hiyo ilikoma ghafla kwa kinachoelezwa kuwa Sanchez kupoteza udhibiti wa gari.
Obdulia Sanchez alinukuliwa kwenye video hiyo akisema:>>>”Nilimuua dada yangu, lakini sijali. Najua nitakwenda gerezani, lakini sijali. Samahakani baby.”

About Author Mohamed Abu 'l-Gharaniq

when an unknown printer took a galley of type and scrambled it to make a type specimen book. It has survived not only five centuries.

No comments:

Post a Comment

Start typing and press Enter to search