Mwimbaji staa wa Bongofleva JUX amehitimu Degree ya Computer Science
Mwimbaji staa wa Bongofleva JUX amehitimu Degree ya Computer Science katika Guangdong University kilichopo Guangzhou, China na leo ameonyesha picha mbalimbali kutoka kwenye graduation yake.