[TRENDING][10]

CENTER OF ICT
ENTERTAINMENT
GOSSIP
NEWZ
SPORTS
VIDEOS

Serikali yatangaza kuzifuta meli mbili za Tanzania zilizokamatwa zikisafirisha silaha na madawa ya kulevya

Serikali yatangaza kuzifuta meli mbili za Tanzania zilizokamatwa zikisafirisha silaha na madawa ya kulevya

Image result for SHIPP
Serikali imetangaza kuzifuta meli mbili za Tanzania zilizokamatwa zikisafirisha dawa za kulevya na silaha, Makamu wa Rais, Samia Suluhu amesema.

Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu amesema Tanzania haihusiki na meli zilizokamatwa zimebeba shehena ya silaha na dawa za kulevya zikipeperusha bendera ya Tanzania hivi karibuni japo ni kweli zilisajiliwa nchini kupitia Taasisi ya Mamlaka ya usafiri baharini Zanzibar.

~ Mwananchi

=======

Kupitia JamiiForums ziliripotiwa taarifa hizi kuhusu kukamatwa kwa Meli hizo huko Ugiriki na Jamhuri ya Dominican(Santo Domingo)

1- Meli yenye bendera ya Tanzania yakamatwa ikiwa na Dawa za Kulevya tani 1.6

2- Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania yakamatwa Ugiriki ikiwa na Silaha, Vifaa vya Milipuko

About Author Mohamed Abu 'l-Gharaniq

when an unknown printer took a galley of type and scrambled it to make a type specimen book. It has survived not only five centuries.

No comments:

Post a Comment

Start typing and press Enter to search