[TRENDING][10]

CENTER OF ICT
ENTERTAINMENT
GOSSIP
NEWZ
SPORTS
VIDEOS

ZIMBABWE: Kiongozi wa Umoja wa Vijana wa chama tawala cha ZANU – PF, Kudzai Chipanga amuomba radhi Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo, Jenerali Constantino Chiwenga

ZIMBABWE: Kiongozi wa Umoja wa Vijana wa chama tawala cha ZANU – PF, Kudzai Chipanga amuomba radhi Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo, Jenerali Constantino Chiwenga

[​IMG]
Hali ya sintofahamu inazidi sambaa nchini Zimbabwe tokea Makamu wa Rais afukuzwe madarakani na Rais Mugabe

Jeshi la nchi hiyo limeanza sogeza vikosi katikati ya mji mkuu Harare hiyo ni baada ya mkuu wa majeshi kutangaza kuchukua hatua endapo chama cha Zanu PF kutashindwa elewana

Habari zaidi zitafuata

Update
Bado hali wasiwasi imezidi kutanda,
Njia ya kuingia kwenye makambi makubwa ya Jeshi zimefungwa

Vifaru na APC zimeshika njia kuu za kuingia na kutoka Harare,

Update..
Milio mizito imesikika mida hii ya usiku,
Chombo cha utangazaji kimetangaza Jeshi limezikishikia studio za ZBC na kuwaondoa wafanyakazi wote

Hata hivyo Baloz wa Zimbabwe SA amekataa kuzungumza chochote

Alipo Rais Mugabe na Mkewe bado haijafahamika

Mji wote wa Harare upo chini ya jeshi mpaka sasa na inavyo onekana ni mapinduzi baridi yanaendelea

Habari Zaidi

Jeshi limetoa taarifa kuwa halijaipindua serikali na Rais Mugabe pamoja na familia yake wapo salama, limedai linawalenga wahalifu wanaomzunguka na kuisababishia nchi kuyumba kiuchumi na kijamii

Likimaliza shughuli yake hiyo linategemea nchi itarudi katika hali yake ya kawaida

=======================
[​IMG]
Zimbabwe's military has read out a statement on the country's national broadcaster, ZBC, saying it has taken action to "target criminals".

However, it said this was not "a military takeover of government" and President Robert Mugabe was safe.

Heavy gunfire and artillery were heard in northern suburbs of the capital, Harare, early on Wednesday.

Zimbabwe's envoy to South Africa, Isaac Moyo, earlier dismissed talk of a coup, saying the government was "intact".

The statement read out by the military came hours after soldiers took over the headquarters of ZBC. A man in military fatigues said the army wanted to deal with people who "were committing crimes that are causing social and economic suffering in the country".


"As soon as we have accomplished our mission, we expect that the situation will return to normalcy."

The statement said 93-year-old President Mugabe and his family were safe and their security was guaranteed.

It is not clear who is leading the military action.
[​IMG]

Gen Chiwenga said the army was prepared to act to end purges within Mr Mugabe's Zanu-PF party.

Tensions were raised further on Tuesday when armoured vehicles were seen taking up positions on roads outside Harare, although their purpose was unclear.

Some staff at ZBC were manhandled when soldiers took over their offices in Harare late on Tuesday evening, sources told Reuters.

Workers were told that they "should not worry", a source added, and that soldiers were only there to protect the site.

The BBC's Shingai Nyoka, in Harare, said the sounds of heavy gunfire and artillery had been heard in northern suburbs where a number of government officials, including the president, live.

Gunfire was heard near Mr Mugabe's residence in the suburb of Borrowdale early on Wednesday, a witness told AFP news agency.

Chanzo: BBC

======

UPDATES:

=> Jeshi linamshikilia Waziri wa Fedha Ignatius Chombo, Waziri wa Elimu Prof. Jonathan Moyo na Afisa Mwandamizi ndani ya chama cha ZANU-PF Savior Kasukuwere.

=> Aliyekuwa Makamu wa Rais, Emerson Mnangagwa atangazwa kuwa Rais mpya wa Chama cha ZANU-PF. Mapema leo hatua Uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Manyame.

=> Kiongozi wa Umoja wa Vijana wa chama tawala, ZANU-PF, Kudzai Chipanga anashikiliwa na Jeshi la nchi hiyo pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Bunge

Mbunge wa upinzani nchini Zimbabwe Eddie Cross ameambia BBC kwamba anaamini mke wa Rais Mugabe, Grace, ametorokea Namibia.
Mwanasiasa huyo wa chama cha Movement for Democratic Change (MDC) amesema anafahamu kwamba Grace aliruhusiwa kuondoka nchini humo usiku wa kuamkia leo na jeshi.
Ameongeza kwamba alikuwa hana kwingi kwa kwenda kutafuta hifadhi baada yake kudaiwa kumdhalilisha mwanamitindo Afrika Kusini jambo lililomaanisha kwamba hawezi kuwa salama huko.

Hata hivyo, taarifa hizi hazijathibitishwa na jeshi.
Kwenye taarifa rasmi kwenye runinga ya taifa awali, Meja Jenerali Sibusiso Moyo alihakikishia taifa hilo kwamba rais na familia yake walikuwa salama na usalama wao ulikuwa umehakikishwa.

Taarifa hiyo ilionekana kuashiria kwamba huenda familia ya rais ilikuwa inazuiliwa kwa pamoja nyumbani kwao Harare.

Nick Mangwana, mwakilishi wa chama tawala cha Zanu-PF nchini Uingereza ameambia BBC kwamba mwenyewe pia amepokea taarifa kwamba Grace hayupo tena nchini Zimbabwe.
Lakini Bw Mangwana amesema katika siasa za Zanu-PF, Bi Mugabe ni mtu wa chini sana na hana usemi wowote.
Amesema ana mamlaka tu kwa sababu ya kuwa ni mke wa Rais Mugabe.

"Alichukua wadhifa wa juu kuliko ule anaostahiki kuwa nao," amesema.
Bi Mugabe amekuwa akitaka kuwa makamu wa rais, na sasa kwa sababu ameongoka, chama hicho kinaweza kufanya mkutano wake mkuu bila kuingiliwa.
Amekiri kwamba si kawaida kwa jeshi kuchukua mamlaka katika nchi inayoongozwa kidemokrasia lakini kwamba hali haijakuwa ya kawaida Zimbabwe.
"Tuna rais wa miaka 93, na hilo si jambo la kawaida, na hatuna sarafu yetu pia," amesema.
Lakini amesema kirasmi Rais Mugabe bado yumo kwenye usukani kwani jeshi halijasitisha utekelezwaji wa katiba na kwamba taifa hilo bado lina serikali ya kiraia.
Amesema rais Mugabe aliongoza mkutano wa baraza la mawaziri jana jioni kama kawaida.

Chano: BBC


======

ZIMBABWE: Kiongozi wa Baraza la Vijana la ZANU-PF, Kudzanayi Chipanga ameomba radhi kwa kulikosoa Jeshi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Chiwenga.
> Hii inaashiria mabadiliko ya Serikali na utawala nchini humo

About Author Mohamed Abu 'l-Gharaniq

when an unknown printer took a galley of type and scrambled it to make a type specimen book. It has survived not only five centuries.

No comments:

Post a Comment

Start typing and press Enter to search