Ubalozi wa Libya nchini umesema taarifa zinazosambazwa

Ubalozi wa Libya nchini umesema Waafrika wanaosemwa wanauzwa nchini humo, yawezekana walikuwa wanakabidhiwa kwa watoroshaji ili wawapeleke Ulaya na sio kuwauza kama watumwa
- Fedha walizokuwa wakipeana ilikuwa ni gharama za kuwasafirisha na wala sio gharama za kuuza uhuru wao ili wewe watumwa.
No comments:
Post a Comment