[TRENDING][10]

CENTER OF ICT
ENTERTAINMENT
GOSSIP
NEWZ
SPORTS
VIDEOS

Afisa wa soka Agrentina ajiua kwa tuhuma za rushwa

Afisa wa soka Agrentina ajiua kwa tuhuma za rushwa

Jorge Delhon amejiua mwenyewe baada ya jina lake kutajwa kuhusika na rushwa mjini New York

Afisa wa zamani wa soka nchini Argentina amejiua baada ya kuhusishwa katika kashfa ya rushwa iliyotajwa mjini New York.
Jorge Delhon amejirusha kwenye reli na kukanyagwa na treni kwenye mji mkuu wa Argentina Buenos Aires.
Baadhi ya viongozi wa soka nchini Argentina wameelezea kusikitishwa na tukio hilo na kusema limetia doa kwenye soka la nchi yao.
Kesi ya Delhon iliyofunguliwa siku ya Jumatatu inafuatia upelelezi wa muda mrefu uliofanywa na Marekani kwenye shirikisho la soka duniani FIFA.

About Author Mohamed Abu 'l-Gharaniq

when an unknown printer took a galley of type and scrambled it to make a type specimen book. It has survived not only five centuries.

No comments:

Post a Comment

Start typing and press Enter to search