Lewis Hamilton atwaa taji la nne la dunia
Lewis Hamilton atwaa taji la nne la dunia
Dereva Lewis Hamilton amefanikiwa
kushinda taji la nne la dunia katika michuano ya Mexico grand prix licha
ya kumaliza akiwa nafasi ya tisa baada kugongana na Sebastian Vettel.
Mafanikio
ya Hamilton yanamfanya kuwa dereva wa Uingereza kufanikiwa zaidi katika
historia akiwa amevunja rekodi ya Jackie Stewart.Anaungana na Vettel na mfaransa Alain Prost wenye vikombe vinne.
Aligongana na Vettel wakati walipokuwa wakijaribu kupishana katika kona.
No comments:
Post a Comment