Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za Shirika la Viwango Tanzania (TBS) waliofanya usaili kuanzia tarehe 01 – 02 Agosti, 2017 na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) waliofanya usaili kuanzia tarehe 24 - 26 Julai, 2017 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa kwenye tangazo lililopo kwenye website ya Sekretarieti ya Ajira www.ajira.go.tz (Sehemu iliyoandikwa PLACEMENT).
No comments:
Post a Comment