Wayne Rooney akijiandaa na Everton uwanja wa Taifa kwa ajili ya Gor Mahia
Jumatano ya July 12 2017 kikosi cha kwanza cha Everton chenye
wachezaji 25 kimewasili Dar es salaam Tanzania kwa ajili ya mchezo wa
kirafiki dhidi ya Bingwa wa SportPesa Super Cup Gor Mahia ya Kenya,
mchezo ambao utachezwa kesho July 13 saa 17:00 uwanja wa Taifa.
No comments:
Post a Comment