MAN U KUSAJILI VERATI? SOMA HAPA
MAN U KUSAJILI VERATI? SOMA HAPA.
Muhtasari wa tetesi na habari za uhamisho kutoka Ligi Kuu Uingereza, La Liga, Serie A, Bundesliga na kwingineko.
UNITED YAZUNGUMZA NA VERRATTI
Mipango ya Milan kufanya usajili mkubwa bado inaendelea wanapojipanga kumsajili beki mahiri Andrea Belotti kutoka Torino, kwa mujibu wa Gianluci Di Marzio.
Torino wanataka kulipwa €80 millioni pamoja na M'Baye Niang na Gabriel Paletta kutoka klabu hiyo ya San Siro.
No comments:
Post a Comment