[TRENDING][10]

CENTER OF ICT
ENTERTAINMENT
GOSSIP
NEWZ
SPORTS
VIDEOS

Kangaroo afariki katika kiti akiwa na mvinyo

Kangaroo afariki katika kiti akiwa na mvinyoKangaroo apigwa risasi na kufariki akiwa ameketi katika kiti na mvinyo mkononiMaafisa wa polisi wanachunguza baada ya kangaroo kupatikana amepigwa risasi huku akishikilia mvinyo wa pombe mjini Melbourne Australia.

Maafisa wa wanyama pori nchini Australia wanasema mnyama huyo aliigwa risasi mara tatu na baadaye kufungwa akiwa ameketi katika kiti.
Iliripotiwa mwezi uliopita lakini mamlaka ilitoa picha wiki hii katika harakati za kutafuta habari.
Hukumu ya mauaji ya myama huyo kinyume cha sheria ni faini ya hadi dola 36,500 za Australia na hadi kifungo cha miaka miwili jela.
Idara ya mazingira, ardhi, maji na mipango ilisema kuwa inashirikiana na maafisa wa polisi kutatua uhalifu huo.
Lazima ilichukua muda mrefu kumuweka kangaroo huyo katika hali aliyokuwa kanda kando ya barabara.
Hesabu ya hivi karibuni ya kangaroo nchini Australia ni milioni 34.3

About Author Mohamed Abu 'l-Gharaniq

when an unknown printer took a galley of type and scrambled it to make a type specimen book. It has survived not only five centuries.

No comments:

Post a Comment

Start typing and press Enter to search