MSANII TAABANI KWA KUPIGWA PICHA ZA UTUPU.
Msanii wa Playboy akosolewa kwa kupigwa picha za utupu akiwa juu ya mlima
Kwa watu wengi ambao wana tamaa ya kupata picha ya kuweka kwenye mitandao ya Facebook na Instagram, kufika kilele cha mlima na kuangalia mawingu chini yaka, unawez kuwa wakati muafaka wa kupigwa picha.
Na kama wewe ni masaniiwa jarida la Playboy, menye mashabiki 300,000, mbona usifua nguo zako na haraka kupigwa picha.
Hili ndilo lililotokea wakati Jaylene Cook alikwea mlima wa Taranaki nchini New Zealand.
- Playboy kuchapisha tena picha za utupu
- Wanajeshi wa US wasambaza picha za utupu za wenzao wa kike
- Agonga gari la polisi akijipiga selfie
Hata hivyo jamii ya Maori ya eneo hilo inasema kwa hatua hiyo inaenda kinyume na tamaduni.
Kilele cha mlima huo ni eneo takativu kwa jamii ya Maori.
"Ni kwa mfano mtu kuenda katika makao ya Vatican na kupiga picha ya utupu." msemaji wa jamii ya maori alisema.
"Ni eneo takatifu na kitu kama hiki sio kizuri."
Picha ya Bi Cook, ambaye mwenyewe ni kutoka nchini New Zealad, ilichukuliwa wakati alikwea mlima huo siku chache zilizopita.
Baada ya kuchapishwa katika mtandao wake wa Instagram akiwa umbalia wa mita 2,518 kileleni mwa mlia picha hiyo imepata karibu mashabiki 10,000.
Kwa jamii ya Maori mlima huo unatambuliwa kama kabaru la wazee wa jad
No comments:
Post a Comment