[TRENDING][10]

CENTER OF ICT
ENTERTAINMENT
GOSSIP
NEWZ
SPORTS
VIDEOS

Jose Mourinho Uso Kwa Uso Na Chelsea Kuiwania Saini Ya Danny Rose

Jose Mourinho Uso Kwa Uso Na Chelsea Kuiwania Saini Ya Danny Rose

MANCHESTER UNITED wanatajwa kuiwinda saini ya mlinzi wa kushoto wa klabu ya Tottenham, Danny Rose kwenye dirisha la usajili mwezi Januari
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 27 anabakia kuwa mchezaji anayewindwa na Jose Mourinho na kwa kuzingatia hilo, United ina mpango wa kutuma ofa dirisha la usajili la majira ya baridi baada ya kumkosa majira ya joto.
Chelsea nao wamekuwa wakiripotiwa mara kadhaa kuiwinda saini ya muingereza huyo lakini hata hivyo mtandao wa Tuttomercatoweb, unadai kuwa United ndio wana nafasi kubwa.
Rose amekuwa nje ya uwanja tangu Januari 31 kutokana na matatizo ya goti, lakini anatarajiwa kurejea uwanjani mwishoni mwa mwezi huu

About Author Mohamed Abu 'l-Gharaniq

when an unknown printer took a galley of type and scrambled it to make a type specimen book. It has survived not only five centuries.

No comments:

Post a Comment

Start typing and press Enter to search