MWANZA: Watu 17 wameokolewa baada ya boti ya MV Julius kuzama

MWANZA: Watu 17 wameokolewa baada ya boti ya MV Julius kuzama katika ziwa Victoria. Jeshi la Polisi wanafuatilia kubaini kama kuna waliosahaulika majini
-
Meli hiyo inayofanya shughuli zake za usafirishaji kati ya Mwanza na kisiwa cha Gozba Wilayani Muleba Mkoani Kagera, ilizama majira ya saa nne usiku ikiwa na nahodha, wabeba mizigo pamoja na mzigo wa magunia 750 ya dagaa.

No comments:
Post a Comment