[TRENDING][10]

CENTER OF ICT
ENTERTAINMENT
GOSSIP
NEWZ
SPORTS
VIDEOS

Daraja la Mungu lililo kivutio Kilimanjaro, Tanzania


Image result for daraja la mungu


Daraja la Mungu lililo kivutio Kilimanjaro, Tanzania

 

 

Sieny ni eneo lililopo Mkoani Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania, ni miongoni mwa maeneo yanayoheshimika kutokana na imani ya kabila la Wachaga waishio katika eneo hilo.
Ni katika eneo hilo, ndio kunapatikana Daraja la Mungu ambalo wakazi wake wanaamini limejengwa na Mungu, lakini pia kuna mapango yanayotumika kwa matambiko.
David Nkya alitembelea eneo hilo na kuandaa taarifa ifuatayo.

 

About Author Mohamed Abu 'l-Gharaniq

when an unknown printer took a galley of type and scrambled it to make a type specimen book. It has survived not only five centuries.

No comments:

Post a Comment

Start typing and press Enter to search