Mwanamke wavutie wanaume kiakili zaidi na sio kimwili zaid
Mwanamke wavutie wanaume kiakili zaidi na sio kimwili zaid

Kuwavutia wanaume bora na wanaojielewa unatakiwa uonyeshe tabia yako njema badala ya drama zako mitandaoni, akili yako badala ya sura na shepu yako na muhimu zaidi upendo wako kwa Mungu kuliko kupenda zaidi fashion.
Kuvaa vimini na nguo za mitego, kubusti maziwa, na kupost drama kwenye mitandao ya kijamii kutafanya upate wavulana ambao ni sex-oriented, yaani wanaowaza ngono tu basi ila itakuwa ngumu kuwavutia wanaume wanaojielewa.
Mwanamke aliejaliwa umbo zuri na sura nzuri pasina maarifa kichwani afaa kwa usiku mmoja, lakini yule mwenye maarifa na ufahamu afaa kwa maisha yote
No comments:
Post a Comment