Maneno ya Vanessa Mdee baada ya Jux kupost picha za Graduation
Maneno ya Vanessa Mdee baada ya Jux kupost picha za Graduation

Jux kuonesha picha hizo kupitia Instagram yake kumewafanya watu wengi watoe pongezi kwake ambapo miongoni mwao ni Vanessa Mdee ambaye ametumia ukurasa wake wa Instagram pia kuelezea hisia zake.
“Congratulation Juma jux U finally done and you done did it well. Hapo watu walikuwa wakiombaga picha za wewe darasani nadhani hii picha jibu la kutosha. Umeweza kufanya yote, MZIKI, BIASHARA NA SHULE… now that’s exceptional. Muda wa vibunda babaaa. Keep inspiring the YUTEEEEE” – Vanessa Mdee.