Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa awasili Makao makuu ya Polisi, apigwa kalenda
Aidha katika viunga vya ofisi hizo Ulinzi umeimarishwa maradufu huku Waandishi wa habari wakifukuzwa.
=====
UPDATE
=====
Lowassa atakiwa kurudi polisi tena: Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ametakiwa na jeshi la polisi kurudi tena Julai 13 kwa kuwa upelelezi bado haujakamilika.
No comments:
Post a Comment